NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI
Dr. Kasudia
+255715224721
+255758606089
drkasudia@gmail.com
-Mfano wa Organ ni kama Utumbo na Mfano wa Tissue ni kama Misuli ,hivyo basi Either Utumbo ama Msuli nk unaweza kujitokeza kupitia uwazi huo kutokana na Mgandamizo kutokea ndan kuja nje na kusababisha uvimbe eneo ya Udhaifu.
Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue) izungukayo eneo hilo dhaifu iitwayo FASCIA.
![]() |
Fig2: Picha ikionesha baadhi ya aina za ngiri |
Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:
↪Tumboni
↪Eneo la kinena
↪Eneo la paja kwa juu
↪Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma
↪Kifuani
Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote
AINA ZA NGIRI
Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.AINA KUU ZA NGIRI
⤵⤵⤵⤵⤵⤵
1.Epigastric hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea tumboni yaani juu ya kitovu hivyo huweza kuambatana na maumivu ya tumbo,miungurumo ya tumbo nk
2.Hiatal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kifuani na huweza kupeleka maumivu makali ya kifuani na kujitokeza uvimbe katika kifua na mara nyingi husababishwa na tatizo na acid nyingi tumboni ( GERD)
3.Incisional Hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanyiwa upasuaji usiokuwa wa ngrir tumboni mfano upasuaji wa kawaida kama vile mjamzito anapojifungua kwa upasuaji nk
4.Inguinal Hernia
-Ni ngiri ambayo hutokea maeneo ya kinena kwa pembeni na inaweza kupelekea maumivu makali,kujitokeza kwa uvimbe kwenye kinena na huweza kushuka mpaka kwenye korodani na kusababisha kuvimba kwa korodani.
5.Femoral hernia
6.Umbilical hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kwenye kitovu
7.Anal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea sehemu ya haja kubwa
8.Scrotal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kwenye korodani
⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵
1.Uzito kupita kiasi
2.Tumbo kujaa maji
3.Kujisaidia choo kigumu
4.Kunyanyua vitu vizito
5.Ujauzito
6.Kikohozi sugu (Chronic Obstructive Pulmonary Disorder)
7.Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji
8.Umri Mkubwa
9.Uvutaji sigara
10.Kurithi
11.Nk
DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI
Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1🌿Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2🌿Kupiga mingurumo tumboni.
3🌿Kujaa gesi tumboni.
4🌿Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5🌿Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6🌿Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7🌿Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8🌿Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9🌿Nuru ya macho hupotea taratibu.
10🌿Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11🌿Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12🌿Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13🌿Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14🌿Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto
15 🌿Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi
16🌿 Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)
17🌿 Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.
18🌿 Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas
19🌿 Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU
Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵
1🌿 Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)
2🌿Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati
3🌿Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo
4🌿 Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar
5🌿Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.
6🌿Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk
7🌿Upungufu wa nguvu za kiume hii hutokana na kulegea kwa misuli ya uume na kupelekea uume kuwa legelege
8🌿 Kupata bawasiri kutokana na kupata choo kigumu (kuota kinyama sehemu ya haja kubwa)Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume.
MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA
Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.
Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza kama una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie kama kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk
•Dr.anaweza kujiridhisha zaid kama mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵
🍉 ULTRASOUND
🍉 CT SCAN
🍉 MRI
Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha kama mtu ana ngiri ama hana.
ANGALIZO
🍉 Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.
🍉 Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.
🍉 Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.
🍉 Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa Recurrent Hernia,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa Recurrent hernia.Na kuna ngiri huitwa *Incissional hernia* ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.
🍉 Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea.
Kwa mahitaji ya ushauri na dawa ya ngiri Wasiliana nami kwa mawasiliano;
Comments
Post a Comment